Feb 28, 2011

VITA WAISLAM NA WAKRISTO VYANUKIA.

Tabia ya kutoa kashfa kwa dini zingine huenda ikaangamiza umoja wa kitaifa.Wakristo Mjini Magharibi Zanzibar wameendeleza chokochoko dhidi ya wenyeji wao ambao ni waislam. Wakristo hao wanatoa kashfa kwa Waislam na Uislam kwa kumtukana Mungu na mtume Muhammad. Mbaya zaidi kama hawajaridhika waliamaua kukidhalilisha kitabu kitakatitifu cha Qur'an kwa kukichoma moto.Waislam walivumilia na kuamua kuzijulisha mamlaka husika pia na kuamua kumwandikia barua Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi.Lakini pamoja na juhudi hizo hakuna hatua madhubuti zozo zilizochukuliwa hadi sasa.Kutokana na hilo la wakristo kuachwa wakiudhalilisha Uislam,Waislam kwa kauli moja wameamua kutokulalamika tena bali nikuchukua hatua ya kuwaadabisha wafanyaji wa vitendo hivyo.Endapo wakristo wataendele basi vita kali huenda ikaripotiwa na hasara kubwa kutokea.Chokochoko hizi za kidini huenda zikaumong'onyoa kabisa muungano wa Tanzania,na tabia hii isipozuiliwa huenda ikaumong'onyoa umoja miongoni mwa raia na kusababisha maafa na kutoweka kwa amani nchini,kwani bado tuna kumbukumbu ya yale yaliyokea Mto wa Mbu kule Monduli mkoani Arusha. Serikali inatakiwa kuyafanyia kazi malalamiko ya kidini yote yanayo wasilishwa kwao kwani inaonekana kuna uzembe ama kutokujali. Hatua zisipochukuliwa Taifa huenda likatumbukia kwenye vita ya kidini na kuliangamiza Taifa kwani dalili ndio hizi.

1 comment:

  1. Sisi wengine tunasubiri tu kauli ya masheikh, wakisema vita ni vita tu hakuna kurudi nyuma hiyo. Kwa maana sio uko mjini magharibi tu mpaka huku Dar. Si tunawaangalia tu wakristo chokochoko zao za kusema waislamu na Muhamad wao ni wachawi. Hao wakristo wamesoma wana madegree kibao lakini mpaka leo wana amini eti Mungu ana nafsi tatu, alafu nafsi ya kwanza inamtoa nafsi ya pili duniani isulubiwe!! duu si upumbaaafuuu huo!! Tangu lini mtu asulubiwe alafu wengine wanywe pombe tu duniani?? Hivi jamani kusoma hatujui hata picha hatuoni. Yaani Mungu amtoe kipenzi chake aje asulubishwe na kuzalilishwa kwa ajili ya watu ambao sasa hivi wanazini tuuu, ata ningekua mkristo ningesilimu.

    ReplyDelete

Tafadhali toa maoni yenye kujenga na sikuboa.Lugha chafu zisitumike.